TAZAMA JOTI AKIWA KATIKA MIONEKANO TOFAUTI TOFAUTI..
https://samchardtz.blogspot.com/2014/10/tazama-joti-akiwa-katika-mionekano.html
bi-kiboga
au Asha Ngedele... vilevile kama mtoto (hapo kwa upande wangu ndo huwa
ana-UA zaidi) sasa huko INSTAGRAM mwanadada Lulu ambae
pia ni msanii wa kuigiza amekomenti hii baada ya kutupia picha hiyo hapo chini;
Shape ya Pesa. ..kama Michelle Obama...shape kama hujazaliwa nayo basi shartiii ukailipie gym,
ushaona wapi unene unalipiwa....?shape
inaeleweka
jmn, kijungu kdgo, flat tummy, nyama nyama kdgo...mana tena sio mtu
umenyooka kama ubao...!! Hahah I juc miss my bestie
sooooo muuuuuuch