Picha: Serengeti Fiesta 2014 Kigoma Ni sheeedah!
Linah
https://samchardtz.blogspot.com/2014/10/picha-serengeti-fiesta-2014-kigoma-ni.html
Ilikua
ni zamu ya Kigoma kusambaziwa upendo wa tamasha la Fiesta ambalo mwaka
huu wa 2014 limefanyika kwenye miji 18 ambapo Kigoma na Mtwara ndio
imekua miji ya mwisho kulishuhudia likiongozwa na Linah, Madee, T.I.D,
Stamina, Rachel, Ali Kiba, Linex, Baba Levo, Mr. Blue, Chege na
Makomando.
Umati mkubwa wa mashabiki waliotokea kwenye uwanja kuja kushuhudia tamasha la Serengeti Fiesta
Chenge na Mdee wakiwarusha watu kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini kigoma