MTOTO WA NAIBU WAZIRI WA ZAMANI WA AFYA JONAS NKYA AKANA TUHUMA ZA KURUSHIANA RISASI NA MAMA YAKE
https://samchardtz.blogspot.com/2014/10/mtoto-wa-naibu-waziri-wa-zamani-wa-afya.html
Mtoto wa Naibu Waziri wa Afya wa zamani Jonas Nkya
Jonas Nkya mtoto wa Naibu Waziri wa zamani
wa Afya na Mbunge wa Morogoro kusini masgariki Lucy Nkya amewaambia
waandishi wa habari kwamba habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijami
kwamba amerushiana risasi za moto na mama yake mzazi ofisini kwao leo
mkoani Morogoro.
Jonas Nkya amesema kilichotokea alipokwenda
ofisini hapo kuchukua gari alielekee shamba bastola ilidondoka chini na
ikajifyatua risasi moja na kuzua taharuki kwa watu. Kwanza mimi sina
ugomvi wowote na mama yangu mimi nilikua shamba narudi nashangaa
nimezungukwa na waandishi wa habari wakitaka kujua ukweli wa habari
hizi.
Mimi nashanga habari zilizozagaa kwenye mitandao zimetokea wapi
