PETER OKOYE WA P-SQUARE ALA SHAVU LA UBALOZI WA OLYMPIC MILK
https://samchardtz.blogspot.com/2014/10/peter-okoye-wa-p-square-ala-shavu-la.html?m=0
Mmoja
wa mapacha wa kundi la P-Square, Peter Okoye amechaguliwa kuwa balozi
wa Olympic Milk.Dili hilo linadaiwa kuwa la mamilioni ya naira. Hii ni
mara ya kwanza kwa mmoja wa ndugu hao kusaini mkataba wake mwenyewe
kwakuwa mikataba mingi husaini pamoja.
Wafuatiliaji
wa burudani nchini Nigeria wanahisi hiyo inaweza kuwa ni dalili ya
kutokuwepo maelewano mazuri kati yao. Kwenye tangazo la maziwa hayo,
anaonekana Peter peke yake