GOOD NEWzz!! AY AANZA KUSHOOT VIDEO ZAKE MBILI NCHINI USA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/10/good-newzz-ay-aanza-kushoot-video-zake_78.html
Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.
Good
News ni kwamba sasa hivi yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot
video wa wimbo mpya ‘Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti &
Lamyia,ikiwemo na ile collabo aliyofanya na msanii wa Marekani mwenye
asili ya jamaica ‘Sean Kingston
Kupitia
ukurasa wake instagram hitmaker huyo wa single ‘Adela’ ameshare picha
akiwa huko Marekani katika utengenezaji wa video hizo mbili kuandika
‘Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here with@seankingston#TANZANIA #Jamaica