TAZAMA MAMBO AMBAYO NI DIAMOND NA WEMA TU, NDIO WANAOWEZA KUFANYA HAPA BONGO!!
https://samchardtz.blogspot.com/2014/09/tazama-mambo-ambayo-ni-diamond-na-wema.html
Hivi
ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee kufanya
yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuko kwenye
movie yao ambayo bado inaendelea, hii ni moja ya celebrity couple inayopendwa
na watu wengi zaidi nchini Tzee na nje, ila kwa haya wayafanyayo,
hutakuja kuona couple wowote hapa tzee wakifanya haya wanaofanya yao,
labda huko nchi za wengine ila kwa hapa Bongo, ni Wema Sepetu tu na
Diamond Platnumz ndio wanayoweza.
Kudai kutengeneza movie ambayo haijatoka hadi leo”Temptation”Kati
ya vitu ambavyo si rahisi cople wengi kukuta wanafanya pamoja ni movie,
ila kwa hili la wapendanao hawa ni noma zaidi, ndio moja ya celebrity
couples ambao wamewahi kudai kucheza movie wakati walipokuwa wameachana,
ili tu wawe karibu pamoja, ikiwa inasemekanailikwenda kufanyiwa
shooting nchini China, na ikiwa nimwaka
wapili huu sasa wamesharudiana, na movie hiyo haijakamilika bado,huku
ikibakia msemo tu “Acha movie iendelee”.
Hawa
ni moja ya celebririres waliowahi kutangaza kuachana mara kadhaa na
mwisho wa siku kurudiana na hadi hii leo bado wapo pamoja,imetokea
kusikia watu wegi maarufu hapa bongo
wakiachana na kila mtu akishia kushika mahesabu yake, ila kwa Diamond na
Wema, ni moja ya couple maarufu zilizowahi kuachana na kurudiana mara
nyingi kuliko mtu yeyote maarufu hapa Bongo. Unakumbuka yale ya Rihanna
kushushiwa kipigo na Chris Brown na bado akamrudia ?
Wema kumvalisha Diamond wigi na kupost picha mitadaoni.
Kama ni vituko basi hapa huwa haviishi, saa zingine unaweza kusema ni mapenzi kuzidi, ila kwa Diamond kuvalishwa wigi, kupigwa picha
na mpenzie(Wema) na kupost kwenye mitandao ya kijamii, Only Diamond na
Wema ndio kweli wanaweza kufanya hivi, katika miaka hata ya baadae,
sidhani kama watatokea couple maarufu wenye vituko kama hivi, ni nadra
sana ukute mtu maarufu wakiume kuvaa wigi la kike, kupiga picha na kupost kwenye mitandao.
Kurekodi video wakiwa kitandani na kupost kwa mashabiki kuangalia.
Kama
ni love ku-show love kwa mashabiki iko poa zaidi, kwa Diamond na Wema
ndio inasemekana kuwa hata baada ya kudai hapo awali kuwa kwa sasa
wanataka kuweka mambo yao yawe yao binafsi,
ila ndio couple waliowazi zaidi ku-show mambo yao hadharani, si couple
wote hapa bongo wenye uwezo wa kufanya hivi, zaidi ya kujipiga picha
wakiwa kitandani na kupost kwenye media. Tumezoea kuona watu wengi hasa
maarufu wakifanya mambo yao kwa siri zaidi, ila kwa couple hawa wako wazi sana wakifanya mambo yao.
UNAWEZA KU LIKE PAGE YETU HAPA
UNAWEZA KU LIKE PAGE YETU HAPA