SAD NEWS..! MWANAFUNZI KIDATO CHA 5 AJINYONGA KWA MADAI YA KUKOSA MATIBABU_KAGERA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/09/sad-news-mwanafunzi-kidato-cha-5.html
Mwanafunzi
wa kidato cha tano katika shule ya sekongari ya Iyungo mjini Bukoba
mkoani Kagera, Ezera Gerald ambae alikuwa amelazwa katika hospitali ya
mkoa wa Kagera amejiua kwa kujinyonga katika hospitali hiyo kwa madai ya
kukosa huduma za matibabu.