PICHA: MAN UNITED MSIMU WA 2014-15 SURA MPYA ZIPO NYINGI
https://samchardtz.blogspot.com/2014/09/picha-man-united-msimu-wa-2014-15-sura.html
Kikosi cha Manchester United kimepiga picha ya pamoja na benchi zima la ufundi ambalo litakuwa likiongozwa na meneja mpya kutoka nchini Uholanzi Lous van Gaal.
Kikosi
hicho kimefanya hivyo ikiwa ni mipango iliyowekwa klabuni hapo kila
japo safari hii kumekuwa na tofauti kubwa kutokana na mabadiliko
yaliyofanywa na kocha Lous Van Gaal ya kuwauza baadhi ya wachezaji na
kuwasajili wengine.
Picha
ya msimu wa mwaka 2014-15 ya klabu hiyo ya Old Trafford imeonekana
ikiwa na wachezaji kumi wapya, ambavyo ni tofauti na ilivyokuwa wakati
wa utawala wa meneja Sir Alex Ferguson aliyestaafu mwezi June mwaka
jana.
Picha ya 2014-15 ndo hii.
Mstari
wa nyuma kutoka kushoto ni Jonny Evans, Marouane Fellaini, Chris
Smalling, Tyler Blackett, Marcos Rojo* na Phil Jones, mstari wa tatu ni
Antonio Valencia, Anderson, Daley Blind*, Robin van Persie, Michael
Carrick, James Wilson, Andreas Pereira na Ashley Young, mstari wa pili
ni Gary Walker*, Marcel Bout*, Dr Steve McNally, Luke Shaw*, Ben Amos,
Dave De Gea, Anders Lindegaard, Angel di Maria*, Frans Hoek*, Alec Wylie
na Neil Hough na wa mbele ni Rafael, Ander Herrera*, Radamel Falcao*,
Albert Stuivenberg*, Wayne Rooney, Louis van Gaal*, Darren Fletcher,
Ryan Giggs, Juan Mata, Adnan Januzaj na Jesse Lingard. Wote
Picha ya chini ni ya msimu uliopita ambapo wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi waliowekewa vivuli wameondoka.
Mstari
wa nyuma ni Danny Welbeck, Phil Jones, Chris Smalling, Jonny Evans,
Marouane Fellaini, Rio Ferdinand, Michael Carrick na Robin van Persie,
mstari wa tatu Masseur Garry Armer, mtathmini viwango vya wachezaji Paul
Brand, mkuu wa idara ya fiziki Tony Strudwick, Antonio Valencia, Darren
Fletcher, Wilfried Zaha, Adnan Januzaj, Fabio da Silva, mchua misuli
Rod Thornley, mtunza vifaa Alec Wylie, na daktari wa viungo, Neil Hough,
mstari wa pili mtunza vifaa msaidizi Ian Buckingham, daktari wa viungo
Rob Swire, Dk Steve McNally, Alexander Buttner, Sam Johnstone, Anders
Lindegaard, David de Gea, Ben Amos, Ashley Young, kocha Phil Neville,
mchua misuli Andy Caveney na kocha wa makipa Chris Woods. Mstari wa
mbele ni Shinji Kagawa, Rafael da Silva, Anderson, Nani, kocha Msaidizi
Steve Round, Ryan Giggs, Kocha Mkuu David Moyes, Nemanja Vidic, kocha
Jimmy Lumsden, Patrice Evra, Javier “Chicharito” Hernandez, Tom
Cleverley na Wayne Rooney.