Teknolojia yakuza akili za watoto
...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/08/teknolojia-yakuza-akili-za-watoto.html
Kulingana na utafiti uliofanywa
na shirika la Ofcom, watoto wenye umri wa miaka 6 wana uelewa mzuri
zaidi wa teknolojia kuliko watu wenye umri wa miaka 45. Ripoti hiyo
inasema kuwa uelewa wa maswala ya kidijitali, huwa mzuri zaidi kwa
watoto wenye miaka 15 na kuanza kushuka miaka michache baadaye.