MWAKILISHI WA UPENDO WOMEN'S GROUP BELGIUM AFUTURISHA WATOTO YATIMA
Waumini wa dini ya Kiislamu wakisoma dua.
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/mwakilishi-wa-upendo-womens-group.html
Futari hiyo ilikwenda sambamba na kusoma dua kwa ajili ya kuwakumbuka ndugu na jamaa waliotangulia mbele ya haki.
Matukio yote mawili yalifanyika nyumbani kwa mama huyo maeneo ya Sayansi jijini Dar es Salaam.