MKUU WA MKOA MBEYA ABBAS KANDORO AZINDUA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 2 JIJINI MBEYA
Mkuu wa Mkoa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara akiwa pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga wa kwanza...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/mkuu-wa-mkoa-mbeya-abbas-kandoro.html
 |
Mkuu
wa Mkoa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara akiwa
pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga wa kwanza kushoto
pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla wa Pili kushoto na
Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Dr. Samuel Lazaro wa kwanza kulia
|
 |
Wakishangilia kwa pamoja mara baada ya kukata utepe |
 |
Mkuu
wa Mkoa akipeana Mkono wa pongezi na Mkurugenzi wa miradi wa Kampuni ya
CICO Ndugu Meng Yuan kampuni ambayo imejenga barabara hiyo.
|
 |
Hii ndiyo Barabara iliyozinduliwa |
 |
Baadhi ya viongozi toka MUST wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi |
 |
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Mbeya wakiwa katika eneo la Uzinduzi wa barabara hiyo
|
 |
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro akizungumza katika ufunguzi wa
barabara mpya kutoka eneo la Meta hadi Stendi kuu ya Mabasi jijini Mbeya
yenye urefu wa kilomita 2
|
 |
Dr Norman Sigalla Mkuu wa wilaya ya Mbeya akimkaribisha mgeni rasmi |
 |
Meya wa Jiji la Mbeya ,Athanas Kapunga akiongea na wananchi katika uzinduzi wa barabara hiyo
|
 |
Kaimu
Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Dkt.Samweli Lazaro amesema kuwa ujenzi wa
barabara hiyo umemalizika kwa mkataba wa grama ya sh.
Bil.1,553,437,275.00 alipokuwa akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi
|
 |
Waheshimiwa Madiwani |