Flatnews

JK AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI


D92A2407

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano ikulu jijini Dar es Salaam
D92A2461
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt. Yukiya Amano ikulu jijini
D92A2478
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano akiuangalia mti kubwa wa Mbuyu katika bustani za ikulu jijini Dar es Salaam huku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiomuonesha tunda la ubuyu.(A.I)

Post a Comment

emo-but-icon

item