BARAZA LA EID EL FITRI LEO UNGUJA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/baraza-la-eid-el-fitri-leo-unguja.html
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid
El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini
Unguja,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Baadhi
ya Viongozi na wageni mbali waliohudhuria katika sherehe za Baraza la
Eid el Fitri wakiangalia na kusikiliza Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Baadhi ya Wananchi na Waislamu wasikiliza hotuba iliyotolewa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika kusherehekea Sikukuu yaEid el Fitri, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwaongoza wake mbali ,mbali
wa Viongozi wa Kitaifa pamoja na wananchi waliohudhuria katika sherehe
za Baraza la Eid el Fitri wakielekea kupata viburudishaji baada ya
kumalizika kwa Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo. [Picha na Ramadhan Othman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na wake wa Viongozi (pichani) akipena mkono na Mama Fatma Karume,(kulia) akiwepo na Mama Mwanamwema Shein katika viwanja vya ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Zanzibar,(wa pili kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]