Alichoandika Peter wa P Square baada ya kuipotezea harusi ya kaka yake
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/alichoandika-peter-wa-p-square-baada-ya.html
Kama kaka
yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye
amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana kwamba
wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya kaka
yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake.
Mashabiki
hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni
kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii
ishu.
M