WACHEZAJI ENGLAND KWA KUPUNGA UPEPO HAWAJAMBO, WAITEKA BICHI MJINI RIO
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/wachezaji-england-kwa-kupunga-upepo.html
Kipenzi cha mashabiki: Sturridge akisalimiana na shabiki kijana nje ya hoteli ya England
Mwandishi wa habari akijaribu kupata hata neno moja kutoka kwa mshambuliaji wa Manchester United, Danny Welbeck
Wachezaji wa England walizingirwa na
waandishi wa habari za magazeti na TV, huku nao watoto wakifurahia
kukutana na mashujaa wao.
Baadaye wachezaji walirudi hotelini baada ya kupata kijua na kukutana na mashabiki wao wa Brazil.
Welbeck akiwa amezingirwa na vijana wadogo, huku Smalling (kushoto) akifurahia kinywaji baridi
Wanarudi: Smalling (kushoto), Welbeck (katikati) na Jordan Henderson (kulia) wakirudi hotelini kwao.