MSANII WA KIKE BONGO MOVIES APATA AJALI MBAYA ANUSURIKA KIFO
Shery Mwana
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/msanii-wa-kike-bongo-movies-apata-ajali.html
Shery Mwana
MSANII huyu wakike kutoka Bongo Movies amepata ajali jana maeneo sinza kijiweni jioni hii akielekea kwenye msiba wa Geoge Tyson huko mbezi.
Shery Mwana alipatanajali hii baada ya daladala kugonga pikipiki kwa nyuma pikipiki hio iliombeba dada huyo na kusababisha ajali mbaya dada huyo kwa sasa yupo nyumbani kwake mabibo chuo cha usafirishaji jijini Dar, Baada ya kukimbizwa hospitali ya Serekali Palestina Sinza.
M/mungu amjalie apone haraka dadaetu Shery Mwana