MKUU WA MKOA ANAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGAMWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mkuu-wa-mkoa-anaongoza-waombolezaji.html
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa
Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati)
akiwa na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa
Bongo Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za kuaga
mwili wa Tyson.
Aliyekuwa mke wa marehemu, Yvonne Cherry 'Monalisa' (kulia)
akilia kwa simanzi pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia
(katikati).PICHA NA HAMIDA HASSAN WA GPL