LE MAJANGAZ YA WASHABIKI WA MUZIKI MBELEZZZ NEW YORK CITY/USA KUWACHWA KWENYE MATAA NA SHOW LA SUPER MEGA STAR DIAMOND PLATZNUMZ LIVE!!
Wapenzi wa na Washabiki wa Muziki wabongo wanaoishi mbelezzzzz New York
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/le-majangaz-ya-washabiki-wa-muziki.html
 |
| Wapenzi
wa na Washabiki wa Muziki wabongo wanaoishi mbelezzzzz New York
City/USA na vitongoji vyake toka juzi wamekuwa wakituma ujumbe mzito kwa
this blog wakilia machozi mazito kwa wanachokiita uhuni waliofanyiwa na
show hii ya Super Mega Star Diamond Platznumz. Kwanza walilipishwa USD $
40 kama kiingilio na wanasema kwamba Diamond aliingia kwenye ukumbi Saa
Nane za usiku na kuimba kwa nusu saaa tu show ikaisha. Uzoefu wangu wa
New York City/USA na entertainment ni kwamba sio rahisi kwa Mwanamuziki
yoyote kutoka Tanzania kuweza kufanikiwa kufanya Show at downtown New
York City, never kwa sababu Wabongo sio wengi na kutokana na mazingira
ya kimaisha sio rahisi kujaza wabongo kwenye kumbi za Downtown so wote
huishia kupigia Elizabeth/New Jersey kwenye Club moja hivi very local
ambayo mara ya mwisho Mr. Nice alipigia hapo akiwa bado kwenye chart.
From my experience kuchelewa kuanza kwa this show juzi ilikuwa ni
kutokana na Promoters wake waliokwisha mlipa tayari kuhangaika kujaribu
kurudisha hela yao kwa kiingilio cha mlangoni kwa sababu ndio the only
pleace they have kuweza kurudisha hela yao, sasa kama sio nyingi ni wao
ndio wanaomchelewesha Super Star kuja wakiamini kwamba watu watajaaa, so
poleni sana washabiki wa muziki huko kwa mkasa huu mzito uliowakuta
lakini nawaambieni kwamba Super Mega Star Diamond Platznumz hana kosa
lolote yeye amelipwa na anaambiwa what to do na waliomlipa, hawezi
kuingiz ukumbini kinyume na matakwa ya waliomleta, wao ndio wanaotakiwa
kujibu hizo lawama and I hope they will do that now!! |