Flatnews

FAINALI YA PILI:MIAMI HEAT 98-96 SAN ANTONIO SPURS


2014_06_09_08_36_44

Kwenye Fainali ya pili ya Ligi ya Kikapu( NBA) nchini Marekani Alfajiri ya leo,Timu ya Miami Heat imeshinda Game 2 ya leo ikiongozwa na LeBron James aliefunga point 35 peke yake huku
wapinzani wake San Antonio Spur wakiongozwa mastaa kama Ginobili,Tim Duncan na Tony Parker wakichachafya kwa mitupo ya mbali ya 3 points.Mpaka Quarter ya nne inaisha Miami Heat anaongoza kwa point 98-96,wachezaji wa Miami waliosaidia ushindi kwa leo ni Bingwa wa mitupo ya 3-Pointi Ray Allen na wengine wakisaidia ushindi wa leo ikiwa ni fainali ya pili huku timu hizo zote zikiwa sare 1-1,James 35pts 10rebs, Bosh 18pts, Wade 14pts 7rebs, Lewis 14pts, Allen 9pts, Andersen 9rebs.

Post a Comment

emo-but-icon

item