Flatnews

WEMA ASHAURIWA AACHE UMAARUFU WA KUBEBWA NA SCANDAL.



MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi. Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya 
sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato.
“Kwanza nampongeza sana Diamond kwa tuzo zote alizopata kwa kuwa alistahili lakini Wema naye anapaswa kuiga mfano, vinginevyo atakuwa maarufu bila ya heshima,” alisema Steve 
Nyerere.

Post a Comment

emo-but-icon

item