Wasanii 6 wa kike walivyokua mwanzo kabla ya kuanza mambo yetu yale…..Ya mkorogo
Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/wasanii-6-wa-kike-walivyokua-mwanzo.html
Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’
Wema Sepetu
Shilole
Ray C
Ruth Suka ‘Mainda‘
Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa hawa dada zetu wa kike waliamua kuongeza urembo wao kwa kuweka mkorogo “bleaching” , full u-michael jackson Hizi ni baadhi za picha zinavyoonyesha wasanii hawa wa kike walivyokua mwanzo na walivyo sasa ;-