Tazama Maajabu Mengine Yaliyoibuka Bada ya Diamond Platnum Kuchukua Tuzo saba za Kil Music Awards
Kutokana na Tuzo saba za Kili Music Award zilizofanyika Juzi ambazo Amepata Msanii Daimond Platnum Kutoka Kundi wa Wasafi Baby. Sasa ...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/tazama-maajabu-mengine-yaliyoibuka-bada.html
Jina lake DIAMOND= Lina Herusi Saba sawa na Tuzo Saba alizopata
Nyimbo Yake NGOLOLO=Ina Herusi Saba sawa na Tuzo Saba alizopata
Au NUMBER 1=Ina Herusi Saba sawa na Tuzo Saba alizopata
TAZAMA PICHA ZIKITHIBITISHA MAAJABU HAYA YA DIAMOND PLATNUM
1.Jina Lake Lenye Herufi saba sawa na Tuzo Alizopata
2.Nyimbo ya Ngololo yenye maandishi saba sawa na Tuzo Alizopata
3.Jina Kamili ya Nyimbo Huyo Number1