ROY HODGSON ATANGAZA BUNDUKI 23 KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA BRAZIL, ROONEY KUONGOZA USHAMBULIAJI
KOCHA wa timu ta taifa ya England, Roy Hodgson ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/roy-hodgson-atangaza-bunduki-23-kwa.html
KOCHA wa timu ta taifa ya England, Roy Hodgson ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
Katika
kikosi hicho Ashley Cole aliyetangaza kustaafu jana baada ya kupewa
rasmi na kocha Hodgson kwamba hatoitwa kwa pamoja na Micheal Carrick,
Tom Cleverly, Jermaine Defoe wote wametemwa.
Kikosi kizima hiki hapa;
Walinda mlango: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Mabeki:
Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka
(Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United),
Luke Shaw (Southampton), Leighton Baines (Everton),
Viungo:
Steven Gerrard (Liverpool), Frank Lampard (Chelsea), Jordan Henderson
(Liverpool), Ross Barkley (Everton), Jack Wilshere (Arsenal), Alex
Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Adam Lallana
(Southampton), James Milner (Manchester City)
Washambuliaji:
Daniel Sturridge (Liverpool), Wayne Rooney (Manchester United), Danny
Welbeck (Manchester United), Rickie Lambert (Southampton)
Wachezaji wa akiba: Ruddy, Cleverley, Flanagan, Carroll, Stones, Defoe, Carric