Flatnews

MPANGO WA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSOMEA FANI YA UHANDISI SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAZINDULIWA MUST MBEYA

Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba. akizindua kijarida cha...


Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba.
akizindua kijarida cha WITTED kuashiri uzinduzi wa  mpango wa kuhamasisha wanawake kusomea uhandisi sayanzi na teknolojia




Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi

Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba
akiongea na wageni waalikwa katika uzinduzi huo


Naibu kaimu makamu  mkuu wa chuo na taaluma 
Dkt Mbonde akimkaribisha mgeni rasmi

Albertina Leonard Mwenyekiti WITTED na mkufunzi idara ya sayansi na biashara akisoma taarifa fupi ya mpango wa kuwahamasisha wanawake kusomea fani ya sayansi na Teknolojia 

Mtungwa William mkuu wa idara ya mitihani na pia kaimu mkuu wa idara ya FSD  MUST

Hapa wanawake wakifurahia uzinduzi 

Tedy Mkwawa mwanafunzi mwaka wa tatu Diploma uhandisi umeme akimwelezea mgeni rasmi jinzi umeme unavyofanya kazi katika nyumba 


Enea King'ung'e anaesomea uhandisi umeme mwaka wa tatu akimwelezea mgeni rasmi jinsi taa za barabarani zinavyofanya kazi

Sheila Mwihava mwanafunzi wa mwaka wa tatu uhandisi umeme akitoa maelezo mafupi kwa mgeni rasmi jinsi taa zinazotumika katika mizani za barabarani zinavyofanya kazi

Elizabeth Lema akimwelezea mgeni rasmi jinsi vifaa mbalimbali vya umeme vinavyofanya kazi

Victoria Mtega kulia anaesomea usanifu majengo mwaka wa tatu akimwelezea mgeni rasmi jinsi ujenzi wa nyumba mbali mbali zinavyojengwa kitaalamu

Bi Scholastica Loppa Mhadhiri msaidizi Fani ya umeme pia ni mwanzilishi wa kampeni ya uhamasishaji wanawake kusomea fani ya ufundi anamiaka 30 tangu ameanza kufanya kazi ya uhandisi umeme

Grace Ntungi yeye ni Mhandisi shirika la umeme Tanesco Mbeya anamiaka 22 kazini katika fani hiyo amesema wanawake tunaweza bila kuwezeshwa 

Lilian Kawala  Mhadhiri mtarajiwa uhandisi umeme akielezea jinsi anavyolipenda somo la sayansi na changamoto alizokutananazo amesema hakuna somo rahisi kama hesabu maana hesabu jibu huwa moja kuliko masomo mengine majibu hutofautiana hivyo wanawake wenzngu tujitokeze kusomea fani za ufundi

Eunice Maonyeshp yeye ni mahandisi toka Tanroads akielezea mafanikio yake katika kazi ya ke ya uhandisi barabara

Flora Talamba Mhandisi toka Tanroads 



Baby TOT wakitumbuiza katika uzinduzi huo


Picha ya pamoja

Na Mbeya yetu

Post a Comment

emo-but-icon

item