Flatnews

MGAMBO WA MANISPAA YA ARUSHA


patt_a2fe0.jpg

Hawa ni mgambo wa manispaa ya arusha wakiwa wamemnyang'anya mfanyabiashara mdogo miwa yake na kuondoka nayo wakidai anafanya biashara eneo lisilo rasmi.Kweli hapa tutaendelea na je huyo kijana haki yake ataipata wapi ikiwa wamechukua miwa yake na kuondoka nayo na hajui wataipeleka wapi au ndo kugawana.

Post a Comment

emo-but-icon

item