Flatnews

MASKINI DAVINA WA BONGO MOVIE APONZWA NA BIRTHDAY...!



Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’.
SHEREHE ya bethidei ya msanii wa filamu Vivian Minza ambaye ni shosti wa Halima Yahya ‘Davina’ iliyofanyika Mei 1, mwaka huu imedaiwa kuwa ndiyo chanzo cha kuvunja urafiki wa wawili hao. Imeelezwa kuwa kutofautiana kwao ni Davina kutokwenda katika sherehe hiyo, ili kujiridhisha na madai hayo, paparazi wetu alimtafuta Davina, akafung

Post a Comment

emo-but-icon

item