Flatnews

MARTIN KADINDA AFUNGUKA KUHUSU UGOMVI WA WEMA NA KAJALA SOMA ALICHOONGEA

Wema & Kajala enzi zao


Wema & Kajala enzi zao
Baada ya mambo na thuhuma juu ya Kajala kuwa nyingi, matusi kuongezega na watu wengi  wengine kuanza kuhusishwa kwenye so called beef la Wema na Kajala huko Instagram, hatimaye Manger wa Wema ame amua kufunguka kama ifuatavyo.

This is sad I just hope haya mambo yatakuja kuisha na watu wabakie na amani even kama hawata kuwa marafiki tena but amani itawale.

Post a Comment

emo-but-icon

item