LIST YA WACHEZAJI NA MAKOCHA WANAOLIPWA PESA NYINGI ZAIDI DUNIANI..!! MESS NA RONALDO NANI YUPO JUU?? TAZAMA HAPA..!!
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/list-ya-wachezaji-na-makocha-wanaolipwa.html
Jarida
linaloheshimika kwa kiasi katika ulimwengu wa soka duniani ‘France
Football’ leo hii limechapishwa listi ya wachezaji na makocha 20
wanaolipwa fedha nyingi ndani ya msimu mmoja.
Mapato
ya wanasoka hao yamejumuishwa kutoka kwenye mishahara yao, na mikataba
mbalimbali waliyonayo ya kibishara pamoja na bonasi wanazopata. Listi
ipo kama ifuatavyo.
WACHEZAJI WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
- Lionel Messi – €41m
- Cristiano Ronaldo – €39.5m
- Neymar – €29m
- Wayne Rooney – €24m
- Zlatan Ibrahimovic – €23.5m
- Radamel Falcao – €21.2m
- Sergio Aguero – €19.7m
- Thiago Silva – €17m
- Eden Hazard – €16.8m
- Franck Ribery – €16.5m
- Fernando Torres – €16.2m
- Yaya Touré – €16m
- David Silva – €15.5m
- Gareth Bale – €14.5m
- Bastian Schweinsteiger – €14.5m
- Luis Suarez – €14.2m
- Mario Gotze – €13.9m
- Philip Lahm – €13m
- Gianluigi Buffon €12.9m
- Blaise Matuidi €12.9m
MAKOCHA WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
- Jose Mourinho – €17m
- Pep Guardiola – €15m
- Roberto Mancini – €14m
- Carlo Ancelotti – €13.5m
- Fabio Capello – €12m
- Marcelo Lippi – €11.5m
- Arsene Wenger – €9.6m
- Roberto Di Matteo – €8.2m
- Andre Villas-Boas – €6.9m
- Rafael Benitez – €6.8m
- Luciano Spalletti – €6.5m
- Jurgen Klopp – €6.5m
- David Moyes – €6.4m
- Manuel Pellegrini – €6.4m
- Walter Mazzarri €6.1m
- Gerardo Martino – €5.4m
- Antonio Conte – €5.4m
- Claudio Ranieri – €5.2m
- Laurent Blanc – €4.2m
- Jorge Jesus – €4m
*Villa-Boas
na Di Matteo wanaonekana kushika nafasi nzuri kwenye listi kwa sababu
bado wanalipwa mishahara yao na Chelsea pamoja na Tottenham bbada ya
vilabu hivyo kuwavunjia mikataba yao
