KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA TAASISI ZILIZO CHINNI YA OFISI YA WAZIRI MKUU MKOANI DODODMA LEO
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/katibu-mkuu-ofisi-ya-waziri-mkuu-afanya.html
Wakurugenzi
wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi uanao tekelezwa na (
CDA) Miradi hii nikatika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).Katibu
Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka wa (katikati)
akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM walipo tembelea eneo la mradi
wa Makaburi ya Viongozi katika eneo la Mlimani .
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa (CDA) Bw: Pascal Muragiri akitoa maelezo ya mradi
wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada wa Benki ya Dunia wanao
wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu OWM Mkoani Dodoma.
……………………………………………………………………
(Na Mwandishi Ofisi ya Waziri Mkuu)
Uongozi
wa ngazi ya juu wa Ofisi ya Maziri Mkuu watembelea Miradi mbalimbali ya
maendeleo inayo simamaiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Akizungumza na Wakurugenzi wa Idara na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt: Florens M. Turuka amesema
lengo la kutembelea miradi ni kujionea mwenywe yeye na Wakurugenzi na
wakuu wa Taasisi ili kuweza kujiridhisha na mana ya uwendelezaji wa
Miradi hiyo inayao simamiwa na Serikali.
Miongoni
mwa miradi iliyo tenmbelewa ni Mradi wa Makaburi ya viongozi ambapo
mradi huu uko katiaka hatua za Mwisho za kukamilisha kuwalipa fidia
wakazi wa eneo husiaka ili kupisha mradi huo uendelee .
Aidha
pamoja na mradi wa makaburi pia waliweza kutembelea miradi ya upimaji
viwanja vya makazi na eneo la uwekezaji katiaka eneo la Njedengwa
njekidogo ya Manispaa ya Dododm unao tekelezwa na Mamlaka ya
Uastawishaji Makao Makuu Dododma (CDA)
Naye kaimu Mkurugengenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Mkuu Dododma (CDA) Bw: Pascal Murugiri
amesema mradi wa Njedengwa umegarimu jumla ya ya kiasi cha Shilingi
Bilioni 15 ikiwa kama mkopo kutoka benki hivyo nifursa sasa kwa
wananchi kuja (CDA) na kujipatia viwanja amabavyo viko tayari vikiwa na
huduma zote za msingi kama Barabara za lami Umeme na Maji.