KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA NCHI WASHIRIKA WA MAENDELEO JIJINI DAR ES SALAAM LEO
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/katibu-mkuu-kiongozi-akutana-na-nchi.html
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana mawazo na mabalozi na
wawakilishi wa nchi washirika wa maendeleo kabla ya mkutano
aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel
jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu la Afya (Health
Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya
katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN)
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika
mazungumzo na mabalozi na wawakilishi wan chi washirika wa maendeleo
katika mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu
la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza
sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN)