HALI HII KINONDONI, DAR MPAKA LINI????
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/hali-hii-kinondoni-dar-mpaka-lini.html
Pamoja
na suala la usafi kupigiwa debe na manispaa ya Kinondoni bado hali ni
mbaya sana kwa wakazi wake kutokana na kila kona na kujaa maji machafu.
Eneo hili ni Kinondoni - Moroko jijini Dar es Salaam mbele ya hospitali
kumejaa maji ambayo kwa sasa kumezalisha mbu wa kutosha.
Kitu cha kujiuliza wakazi wa eneo hili waachukua juhudi gani kuhakikisha wanaipigia kelele ..



