BUNGE LA BAJETI LINAANZA LEO,SASA HIZI NDIZO POSHO MPYA ZILIZOONGEZWA KWA WABUNGE.
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/bunge-la-bajeti-linaanza-leosasa-hizi.html
Kabla ya kupandishwa kwa posho hizo Wabunge walikua wakilipwa 200,000 kwa siku ambayo mgawanyo wake ulikua ni sawa na 70,000 kama posho ya kikao,80,000 posho ya kujikimu na 50,000 gharama za usafiri,nyongeza hiyo ya kila mbunge ambayo ni nyongeza sawa na asimilia 50 litaigharimu Bunge la Jamhuri ya Muungano kiasi cha Tsh Bilioni 18.5 kwa siku 52 zilizotengwa kwa ajili ya bunge hilo la bajeti.
Bunge hili linategemea kumalizika June 27.