Flatnews

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja...



Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh:Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container Terminal Service Limited.

Post a Comment

emo-but-icon

item