MAKAMU WA RAIS DKT BILAL KUFUNGUA MKUTANO WA 28 WA MWAKA WA MIMR NA KONGAMANO LA PAMOJA LA WANASAYANSI LAANZA LEO JIJINI DAR
https://samchardtz.blogspot.com/2014/04/makamu-wa-rais-dkt-bilal-kufungua.html
Mkutano
wa 28 wa Taasisi ya Taifa ya utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania
(NIMR) umeanza leo jijini Dar es Salaam na kufanyika kwa siku tatu
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)
unafanyika sambamba na na Kongamano la Wanasayansi watafiti barani
Afrika.