LE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR IRENE UWOYA SASA NI VITA NA FLORA MVUNGI ONA SABABU HAPA LA BIFU JIPYA LIVE!!
https://samchardtz.blogspot.com/2014/04/le-majangaz-bongo-super-star-irene.html
Uwoya
amchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-baba kwamba hafai katika
mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6. Flora
Mvunginaye akaja juu na kudai kwamba maneno ya Uwoya ni maneno ya
mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana tatizo katika mapenzi na yuko
fiti ile mbaya.
Wakati
malumbano yakiendelea,dada mmoja akapiga simu clouds fm,akakataa kutaja
jina lake lakini naye akazidi kuchagiza kwamba H-babasi lolote si
chochote katika ulingo wa ma-lovey dovey,ana mbwembwe za kukata viuno
jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya ma-star wa ki-bongo

