TAZAMA PICHA NYINGINE ZA DIAMOND PLATNUMZ NA MASANJA WALIVYOTUA MOSHI KUSHUSHA BURUDANI LEO
Mwanamuziki Naseeb Abdul almarufu kama Diamond Platnumz akisalimia warembo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimat...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/tazama-picha-nyingine-za-diamond.html


 Mwanamuziki
 Naseeb Abdul almarufu kama Diamond Platnumz akisalimia warembo baada ya
 kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Kilimanjaro International 
Airport (KIA).




Shindano
 la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 linafanyika usiku wa leo katika 
viwanja ya Kili Home Resort kuanzia saa mbili usiku likiambatana na 
burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo wasanii mbalimbali 
watatumbuiza akiwemo Diamond Platnumz na burudani ya Uchekeshaji kutoka 
kwa Masanja Mkandamizaji.