Rais Kikwete amfariji Nehemia Mchechu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Marehemu John Edward Mchechu ambaye ni baba wa ...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/rais-kikwete-amfariji-nehemia-mchechu.html
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete 
akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Marehemu John 
Edward Mchechu ambaye ni baba wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
 Taifa(NHC) Bwana Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa 
Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jana kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake 
aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.Kulia aliyesimama ni Mtoto wa 
Marehemu Bwana Nehemia Mchechu.
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete 
akiifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu Mbezi beach Dar es 
Salaam jana jioni.aliyeketi wapili kushoto ni mtoto wa Marehemu ambaye 
ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bwana Nehemia Mchechu.(picha na Freddy Maro)

