Mama Salma apewa Tuzo Maalumu nchini Malaysia
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akionyesha Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na Profesa Joseph Adaikalam (kulia) Mwanzilishi na Mwenyekiti Mte...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/mama-salma-apewa-tuzo-maalumu-nchini.html

Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akionyesha Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na
Profesa Joseph Adaikalam (kulia) Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa
Chuo Kikuu cha Binary kilichoko Kuala Lumpur nchini Malaysia na kushoto
ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho Profesa Sulochana Nair.

Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Binary kwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia
Dkt. Aziz Mlima

Mwanzilishi
na Mwenyekiti Mtendaji Mkuu wa Chuo Kikuu cha Binary Profesa Joseph
Adaikalam akibadilishana hati za makubaliano (MoU) na Katibu wa Taasisi
ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Daud Nassib mara baada ya
kutiliana saini makubaliano hayo huku Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akishuhudia.
Aidha ,Tuzo hiyo amepokea kutoka kwa Profesa Joseph Adaikalam, Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Chuo Kukuu cha Binary kilichoko nchini Malaysia.
Tuzo hiyo imetolewa maalumu kutokana na kutambua na kuthamini mchango wake katika maendeleo ya wanawake nchini Tanzania na Afrika.