Flatnews

Cheki hii; Collabo nyingine aliyoshirikishwa Ali Kiba na msanii wa bongo fleva.

Msanii Tunda Man amethibitisha kuwa amefanya wimbo wa Ali Kiba na ndio unaofata baada ya video ya Achana na mimi . Tunda Man amesema wimbo...


tunda man
Msanii Tunda Man amethibitisha kuwa amefanya wimbo wa Ali Kiba na ndio unaofata baada ya video ya Achana na mimi. Tunda Man amesema wimbo aliofanya na Ali Kiba utaitwa ‘Baby‘. Hii
itakuwa mara ya pili Tunda Man anafanya kazi na Ali Kiba baada ya ‘Msambinungwa‘.

Related

Photo 7548687854443726964

Post a Comment

emo-but-icon

item