Flatnews

PLATNUMZ APOST PICHA NA KUANDIKA MANENO KUNTUU.!

Msanii wa Bongo flave Nassibu Abdul aka Diamond platnumz kwenye page yake ya facebook  amepost picha hii na kuandika ujumbe unaosomeka. ...


Msanii wa Bongo flave Nassibu Abdul aka Diamond platnumz kwenye page yake ya facebook  amepost picha hii na kuandika ujumbe unaosomeka.

"Bahari ishachafuka ndugu zangu, ntafutieni mfuko nitapike...."

Sijui ndio basi tena na Wema Sepetu au vipi yetu macho tu.
Acha movie iendeleeeeeeeeeeeeee!!!!

Related

DIAMOND 309782090261521439

Post a Comment

emo-but-icon

item