PICHA/TAARIFA: JINSI JENGO LA MACHINGA COMPLEX LINAVYOUNGUA MOTO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/pichataarifa-jinsi-jengo-la-machinga.html
Taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kuhusu tukio la ajali ya moto Dar es salaam.
Kupitia
kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds,mtangazaji Adam Mchomvu ametoa
taarifa kuhusiana na ajali ya moto iliyotokea katika jengo la Machinga
Complex lililopo Ilala, Dar es saalam
Chanzo
cha moto huo mpaka sasa hakijafahamika na tunaendelea kufuatilia ili
kukupa taarifa zaidi na hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.



