MAHAFALI YA 12 CHUO KIKUU ZANZIBA (ZANZIBAR UNIVERCITY)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati),akiwa na baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu Zanzibar wakati wa mahafali ...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/mahafali-ya-12-chuo-kikuu-zanziba.html
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati),akiwa na
baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu Zanzibar wakati wa mahafali ya 12
yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati
Unguja.
WAHITIMU wa fani mbalimbali katika mahafali ya 12 ya Chuo kikuu cha
Zanzibar (ZU),wakiwa kwenye gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya
kuwatunuku shahada mbalimbali huko…
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati),akiwa na
baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu Zanzibar wakati wa mahafali ya 12
yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati
Unguja.
WAHITIMU
wa fani mbalimbali katika mahafali ya 12 ya Chuo kikuu cha Zanzibar
(ZU),wakiwa kwenye gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwatunuku
shahada mbalimbali huko katika viwanja vya chuo hicho Tunguu jana.
BAADHI
ya wazee wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja
wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu.
BAADHI
ya wazazi wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja
wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu.
SPIKA
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh.Pandu Ameir Kificho
(kushoto),akiwa na baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar wakati
wa mahafali ya 12 yaliyofanyika chuoni huko, wapili kushoto Makamu Mkuu
wa chuo hicho Pr.Mustafa Roshash. Picha zote na Abdallah Masangu