CAREER AFRICA YAFANA NEW YORK ZAIDI YA WANADIASPORA 400 WAJITOKEZA
Sophia Yona mwanadiaspora wa New York akiuliza jambo kwa mwakilishi wa Exim Bank Bwn. Dinesh Arora kwenye Career Africa iliyofanyik...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/career-africa-yafana-new-york-zaidi-ya.html
Sophia Yona mwanadiaspora wa New York akiuliza jambo kwa mwakilishi
wa Exim Bank Bwn. Dinesh Arora kwenye Career Africa iliyofanyika jiji
lisilo lala New York City ndani ya hotel ya Hilton iliyopo mtaa wa 1335
avenue of americas, New York New York 10019 na
wanaDiaspora takribani
400 walijitokeza kwenye Careear Africa hiyo iliyokua imeandaliwa na
baadhi ya wana Diaspora wa New York na New Jersey kwa kushirikiana na
makampuni makubwa yanayofanya shughuli zake Afrika yaliyofanya kongamano
hilo kwa ajili ya kuwatafuta wanaDiaspora wa Marekani wanaopendelea
kufanyakakazi kwenye makampuni yao. Makampuni yaliyoleta wawakilishi
ni AXA insurance, Exim bank, national Microfinance Bank (NMB). OCP
group, PZ Cussons, Safaricom na Tollow Oil.
Bi. Rokyaya Mane (kulia) mwakilishi wa National Micfofinance Bank
(NMB) akitoa maelezo kwa wanaDiaspora waliohudhuria kongamano hilo
lililoandaliwa maalum kutafuta wanaDiaspora wanaopendelea kuajiliwa na
makampuni hayo Kongamano la Career Africa lililofanyika kuanzia Ijumaa
Novemba 7-9, 2014 jijini New York City.
WanaDiaspora waliohudhuria kongamano la Career Africa wakibadilishana mawasiliano.
Kushoto ni Bwn. Frederick Kanga mwakilishi kutoka Exim Bank
akisalimiana na mwanaDiaspora aliyetembelea meza hiyo kujaribu kupata
mawili matatu.
WanaDiaspora wakipata mawasiliano na kuuliza maswali kwa makampuni yaliohudhuria Career Africa jijini New York.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha zaote na Anicetus Temba mwakilishi wa Vijimambo New York na kwa picha zaidi tembelea www.tembaphoto.com