BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AKUTANA NA DR. SHEIN
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/balozi-wa-tanzania-nchini-canada.html
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo kwa Rais baada ya
kuteuliwa rasmi.[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka
aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha kwa Rais baada ya
kuteuliwa .[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka
baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kuteuliwa.[Picha na Ikulu.]