BAADA YA DIAMOND KUTOA WIMBO MPYA...IRENE UWOYA AVUNJA UKIMYA WAKE JUU YA DIAMOND PLATINUMZ
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/baada-ya-diamond-kutoa-wimbo-mpyairene.html

Msanii
wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka leo katika blog hii... na
kusema kuwa yeye hajaachana na mumeo wa ndoa na wala msanii Diamond
Platnum hajavunja ndoa yao kama ambavyo baadhi ya watu na vyombo vya
habari walivyokuwa wakisema.Uwoya ameweka wazi suala hilo baada ya
mashabiki wengi kutaka kujua kama ameachana na mumeo ndikumana na ndipo
hapo amekanusha kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na Diamond Platnum wala
Msanii Msami Baby kama ambavyo watu wamekuwa wakijua ni wapenzi bali
amesema kuwa yeye na msanii Msami ni marafiki wa karibu na sasa
wanafanya filamu ya pamoja.
Gasper Nataly :una mahusiano ya kimapenzi na Msanii Msami
>>>Irene Uwoya: hapana Donlee Guck i
love my sister,unachukuliaje skendo za wa sanii bongo?,kwanini uliamua
kuachana na Mr Ndikumana>>>>>Irene Uwoya kawaida
hatujaachana SINA BIFU NA JACKLINE WOLPERKuna wakati uvumi ulienea kuwa
Irene Uwoya amekuwa na bifu na msanii mwenzake wa Filamu Jackline Wolper
lakini leo kupitia Kikaangoni Live Irene Uwoya amekana kuwa na bifu na
Wolper na kudai kuwa Jackline ni mtu wake wa karibu ambae amekuwa
akimshirikisha katika mambo mbalimbali hali ambayo anamfanya ajione ni
kama pacha wake kutokana na kuelewana na kushabiana katika mambo
mbalimbali. Tuma Simba Ni kweli bifu lenu ww na jacline wolper
limemaliza?