Azam FC imetoa mapumziko.......!
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/azam-fc-imetoa-mapumziko.html

Kutokana
na ligi kusimama baada ya kumalizika kwa raundi ya 7, Azam FC imetoa
mapumziko kwa muda wa wiki moja kuanzia leo hadi Jumatatu ijayo kwa
wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za taifa. Watakao kuwa katika
timu zao za taifa ni hawa;
1. AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. SAID MORAD
5. AGGREY MORIS
6. HIMIDI MAO
7. SALUM ABUBAKAR
Hao 7 wapo Taifa Stars
LEONEL SAINT PREUX - ameitwa katika timu ya taifa ya Haiti
DIDIER KAVUMBAGU - ameitwa katika timu ya taifa ya Burundi.
Tunawatakia mafanikio na timu zao za taifa.CHANZO AZAM FC