APIGWA RISASI ASUBUHI YA LEO, YOMBO VITUKA JIJINI DAR ES SALAAM!
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/apigwa-risasi-asubuhi-ya-leo-yombo.html
Mwili
wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Betty baada ya kupigwa risasi
asubuhi ya leo, Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam akiwa kwenye
gari aina ya Toyota Pick Up ya Tunu Security na watu waliokuwa na
bodaboda.
Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya gari.
Mtu asiyefahamika (mwenye simu katikati) akiwasiliana na ndugu wa marehemu betty baada ya kufika eneo la tukio.Watu waliokuwa kwebnye Bodaboda mmoja alimpiga dereva wa gari hiyo risasi ya mkononi alafu akampiga Betty risasi ya kichwani na mlinzi aliyekuwa katika gari hiyo alikimbia na watu hao kuchukua mfuko uliokuwa na pesa na kutokomea kusikojulikana na baadae mwili wa marehemu kuchukuliwa na polisi na kupelekwa hospitali ya Chang'ombe kwa ajili ya uchunguzi.





