Flatnews

AJALI WATU WANNE WANASURIKA KIFO KWENYE AJALI YA GARI MKOANI KATAVI

Gari likiwa limeanaguka



Gari likiwa limeanaguka
Mmoja wa majeruhi akisaidiwa na wananchi wasamalia wema
Gari lililopata ajali
Wananchi wakishuhudia tukio lenyewe


Watu wanne wamenusurika kufa huku mmoja kati yao hali yake ikiwa mbaya baada gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali mbaya katika pori la wilaya ya Mlele mkoani Katavi.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa za mchana ikilihusisha gari aina ya Toyota land cruiser namba T 636 CLM likitokea Dodoma kwenda Mpanda

Post a Comment

emo-but-icon

item