WORLD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/world-lung-foundation-na-serikali-ya.html

Wahudumu wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma maweni pamoja na wananchi wakitembea kwa maandamano kuelekea katika viwanja vya Sekondari ya Mwananchi Mkoani Kigoma kwaajili ya uzinduzi wa kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO.



Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akizindua kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA MAMA MJAMZITO''katika viwanja vya Sekondari ya Mwananchi wa nyuma yake ni Katibu Tawala wa Mkoa Mhandisi John Ndunguru.


Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa lengo la kampeni hiyo kuongeza na huduma kwa akina mama wajawazito waweze kujifungulia katika vituo vya huduma ya afya.
''Hawa ndugu zetu wa WLF wamekuwa wakitusaidia sana katika masuala ya afya ya mama mjazito na mtoto hapa kigoma,Mambo ya kujifungulia nyumbani yameshapitwa na wakati,nina waomba akina mama wote wanapo pata ujauzito kuanza klinik mapema ili waweze kuonana na wataalam mapema''alisema machibya BOFYA HAPA KWA STORI KAMILI