SHAA, LINAH WACHUANA KI-NUSU UTUPU! NI SHEEDAH
Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/shaa-linah-wachuana-ki-nusu-utupu-ni.html
Katika
hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’
na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana kwa
kupozi kihasara mbele ya kamera.
Ilikuwa
ndani ya Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar kulikokuwa na
Tamasha la Fiesta ambapo paparazi wetu alipokuwa ‘back stage’ na kutaka
kuwapiga picha, kila mmoja alijiachia na kuonesha mapaja yake kana
kwamba walikuwa wakishindana kuonesha nani anayo mazuri.
Staa wa muziki wa kizazi kipya Sarah Kaisi ‘Shaa’.
Hata
hivyo, hakuna aliyekuwa tayari kuzungumzia namna alivyovaa ila mara
nyingi Linah amekuwa akisema, yeye kama msanii haoni hatari kuvaa hivyo.